Mama Mzazi wa Mkuu Mpya wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Kamishna Ernest Mangu Atoa Historia Ya Kusikitisha N a Yakijasiri Jinsi Alivyoweza Kumsomesha Mwanae Kwa Tabu Sana
Mama mzazi wa IGP, Ernest Mangumkazi wa kijiji cha Kihanuda tarafa ya Ilongero wilaya ya Singida,akiwa amejitwisha chungu akiwa nyumbani kwake.Mama huyo,amedai kuwa alifanya biashara ya kuuza vyumba na kupata fedha za kugharamia masomo ya Mangu. Mama mzazi wa IGP Ernest Mangu,mkazi wa kijiji cha Kihanuda tarafa ya Ilongero… Read More →