Video: Wakati Dunia Ikiwa katika Harakati Za kupambana Na Ukatili wa kijinsia Tazama Unyama Uliofanywa Kwa Mtoto Kwa Kosa La Kuiba Mapera
Mfanyabiashara wa magari, Gabriel Munisi (35), jana alijiua baada ya kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine watatu jijini Dar es Salaam katika tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi. Munisi, ambaye alikuwa mkazi wa Mwanza, aliwapiga risasi watu watatu akiwamo mchumba wake, Christina Alfred katika Mtaa wa Bungoni Wilaya ya Ilala,… Read More →
Mapema leo asubuhi milio ya risasi zaidi ya kumi ilisikika eneo la Ilala Bungoni karibu na baa maarufu ya Wazee (Club ya Wazee), watu watatu wakiripotiwa kufariki kutokana na tukio hilo linaloelezwa kuwa limetokana na wivu wa kimapenzi. Dereva mmoja wa tax kituo cha Bungoni ambaye alikuwa shuhuda wa… Read More →
Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage amesimamishwa na kamati ya utendaji ya klabu hiyo iliyokutana jana baada ya kukiuka miiko ya uongozi na kukiuka katiba ya klabu hiyo. Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Rage kuwasainisha mkataba wachezaji wawili kutoka Zanzibar Ally Badru na Awadh Juma aliyekuwa anacheza Mtibwa…. Read More →
Makamu wa Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt. Bilal amewaongoza mamia ya Wananchi katika shughuli ya kuuaga mwili Drk. Sengondo Mvungi Aliyefariki Nchini Afrika ya kusini Juzi alipokua amelazwa kwa matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya kichwani na majambazi waliomvamia nyumbani kwake Dkt. Sengondo Mvungi Anatarajia kuzikwa… Read More →
MMOJA wa mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tatu na mbunge anayetoka Mkoa wa Tabora, anatuhumiwa kumbaka na kisha kutishia kumuua msichana yatima mwenye umri wa miaka 16 (jina limehifadhiwa) anayesoma Shule ya Sekondari Turiani iliyoko Magomeni jijini Dar es Salaam. Waziri huyo (jina lake linahifadhiwa kwa sasa), ametoa tishio… Read More →
Mwili wa marehemu Dokta Sengondo Mvungi aliyefariki dunia nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu uliwasili nchini Jana. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na na tume ya mabadiliko ya katiba na upande wa familia, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam… Read More →
Hivi ndivyo waumin wa Shia Katika Moja Ya Madhehebu katika dini ya Kiislam Walivyoazimisha siku ya Ashura ikiwa ni kumbukumbu ya kuuwawa kikatili Imam Hussein ambaye ni Mjukuu wa Mtume muhammad (S.A.W) Siku hii huadhimishwa kwa waumin wa Shia ambao wengi wao ni watanzania wenye asili ya Asia kwa kutembea… Read More →
Nchi Ya Angola ni moja ya nchi zilizojipatia uhuru wake toka katika koloni la wareno mwaka november 11, 1975 lakini ni nchi iliyomwaga damu sana kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika mwaka 2002. Nchi hiyo ni nchi yenye utajiri mkubwa sana wa Almas ikiongozwa na Rais José Eduardo dos Santos, kila November 11… Read More →
Dakta Sengodo Mvungi enzi za uhai wake Akiwa hospitali Habari ni zilizopo ni kwamba punde zinasema kwamba Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dakta Sengodo Mvungi(Pichani) amefariki katika hospitali ya MillPark huko Afrika ya kusini alikokuwa akipata matibabu. Dk Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kichwani Oktoba 2… Read More →