Hali katika jiji la Arusha si shwari,Mabomu yarindima. Chadema Vs Jeshi la Police
Jeshi la polisi nchini Tanzania limekipiga marufuku chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA)kufanya shughuli zozote za kuaga miili ya marehemu kwenye viwanja vya Soweto kwani zoezi la uchunguzi bado linaendelea kwenye viwanja hivyo huku mabomu yakirindima uwanjani hapo. Akizungumza ofisini kwake Kamanda wa polisi mkoani Arusha Liberatus Sabas amesema kutokana… Read More →