Rais Magufuli Ampongeza Sammata Kwa Tuzo Ya Mchezaji Bora Afrika

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu bingwa Afrika ya TP Mazembe kutoka DRC, Mbwana Sammata kwa mara ya kwanza katika historia ya mpira wa miguu, Samatta ameipa Tanzania heshima ikiwa ni pamoja na jina lake kutajwa mara nyingi zaidi katika vyombo vikubwa vya habari Afrika na duniani…. Read More →