Zombi Kaibuka katika Paper La Kidato Cha Nne
Katibu mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania (Necta), Dr Joyce Ndalichoko akionyesha karatasi ya majibu ya mmoja wa watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2012. Mwanafunzi huyo amechora Picha ya Zombi akiwa hajavaa kandambili na kuandika maneno “zombi amesahau kuvaa viatu”