Wanaume Wanaofanya Ngono Na Wanawake Zaidi Ya 20 Hawako Hatarini Kupata Prostate Cancer Kwa 28%
Kuna wanaume wataipenda hii sana……Utafiti mpya unasema , wanaume wanaofanya mapenzi na wanawake wengi, wanaume hawa kwa kiasi kidogo wako hatarini kupata saratani inayoitwa prostate cancer. Watafiti wamegundua wanaume ambao wana wanawake zaidi ya 20 wanaofanya nao ngono wanaondokana na kuwa hatarini kupata prostate cancer kwa asilimia 28. Na wanaume… Read More →