Rais Kikwete Ahudhuria Mkutano Wa Amani Na Usalma Wa Baraza La Amani Na Usalama La Umoja Wa Africa Jijini Nairobi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa… Read More →