NEW SONG: KANTANGAZE – KHADIJA KAMBI & NAMCY (COMING SOON)

Huwa Nasikitika sana ninapokaa katika makundi ya wanaume au wanawake wanamzungumzia msichana Fulani Ambeye labda anatoa harufu kwa namna moja ama nyingine, Huwa Najiuliza Inakuwaje mpaka mtoto wa kike Anatoa harufu mbaya toka mwilini mwake? Ninapozungumzia swala la Harufu mbaya ni pamoja na Kutoa Harufu Ya Kikwapa, Mdomo, Jasho, sehemu… Read More →
INTER COLLEGE BEACH BONANZA @ Mbalamwez Beach Itakuwa 29th March 2014 from 11 am till late Nights Mchana sports and games, usiku it’s perfomance from dferent artsts.. suprise perfomance from TeamBronxi.. Entrance: 6000 tcket bought before and 8000 tcket at the gate U don wanma miss this JIONGEZE Sponsored by:… Read More →
Week End Iliyopita Mwanadada Rukia au Mama Baraka alisherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa kwa kuwaalika Ma best Zake chakula cha Mchana katika hotel iliyopo ufukweni mwa Bahari ya Hindi Giraffe Ocean View iliyopo jijini Dar Es Salaam Bi Rukaiya Ali Enjoy Siku yake hiyo kwa kula kunywa na kupiga picha… Read More →
(Napenda kuchukua furksa hii kukupongeza crew ya Salmamsangi.com kwa kazi wanayoifanya mpaka ameongezeka mdhamini mwingine pia nawasihi crew iendelee na juhudi hizo hizo ili wadhamini waendelee kumiminika kama maji mtoni ili waweze kupataa wadhamini wengine kama BOT na kadhalika Pongeziii nyingi zimwendee Mkurugenzi Mtendaji Bi.SALMA MSANGI…) Baada ya Kupata Pongezi… Read More →
Juma Pili iliyopita ilikua Birthday day ya mdada mrembo, mpole, asiyekuwa na maringo dada huyu Always anasmile tu tena msomi hasa Ziada Katunzi Aliamua kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa kwa kuwaalika wanachama wenzake marafki zake wanafamilia wenzake naweza sema hivyo “Strength Of Tha Women Group” Nyumbani kwakwe kwa ajili… Read More →
HAYA HAYA USIPOPENDEZA UTAKE MWENYEWE TU LAKINI KWA SASA EBENEZA BEAUTY PARLOR NDIO SULUHISHO LAKO KATIKA MAMBO YOTE YAHUSUYO SALOON, KUPAMBA MAHARUSI KUWAVISHA KUANZIA CHINI HADI JUU, KUKODISHA MAGAUNI,UREMBO WA KILA AINA , KILA JAMBO LONALOHUSU MAVAZI YA NDANI KWA WANAWAKE NA WANAUME, KWA SASA WAMELETA BOXES MPYA 100… Read More →
Maisha ni safari ya aina yake. Ndani ya safari moja, zipo nyingine nyingi. Pengine ukweli huo ndio chanzo cha ule usemi kwamba safari moja huanzisha nyingine. Kilicho muhimu ni kwanza kuianza safari yenyewe[moja]. Ninachokiongelea hapo juu kina ukweli zaidi katika maisha ya Salma Msangi ambaye leo kwa wengi ni mtangazaji wa luninga… Read More →
Pongezi sana kwa Mtangazaji wa kipinndi cha Leo Tena Cha Clouds Fm Dina Marious na Mzazi Mwenzie Reuben Ndege aka Ncha Kali Kwa kupata Mtoto wa kiume, Wapenzi hao wa Muda Mrefu wamefanikiwa kupata mtoto wa Kiume waliompatia Jina la ZION Dina Ameshare Picha Ya Mtoto wake Baby Zion… Read More →