Photos- Tazama Jinsi Club Tiffany ilivyozinduliwa Kwa Aina Yake Ndani Ya Tiffany Diamond Hotel & Spa
Japo Kuwa Ufupi Hivi ndivyo sehemu mpya ya kujiachia mjini ilipofunguliwa Ijumaa Iliyopita ndani Ya Tiffany Diamond Hotel Club Posta Mtaa wa Morogoro na Indiragand Jijini Dar Es Salaam Mwanamitindo Asia Idorous alipata kusindikiza uzinduzi huo kwa wanamitindo kutoa show ya maonyesho ya mavazi kwa wahudhuriaji wa disko hilo hatare… Read More →