Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
Msanii wa Filamu Kajala Masanja Yupo Huru, Mahakama Yaridhia Hukumu Yake, Rufaa Yatupiliwa Mbali
Related Posts
-
-
Rihana Apigwa Chupa Wakati Anatoka Katika Club Moja Ya Usiku Katika Jiji La London
-
Ripoti:Bobbi Kristina Brown Kutolewa kwenye coma
-
STYLE YA NYWELE FUPI IMERUDI KWA KASI.
-
Kajala Atoa Ya moyoni baada ya kuchoshwa Na Uzushi wa Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu
-
Mwana Mfalme Wa Uingereza azaliwa, atakuwa Mrithi wa kiti cha ufalme wa Cambridge
-
Kulingana Na Maelezo Ya Shirika La Afya Duniani Mama Mwenye Virusi Vya Ukimwi Anashauriwa Kuto Mnyonyesha Mtoto