Video: Alichokisema Floyd Mayweather’s Baada ya Kumpiga Canelo Alvare
Kwa wale wafuatiliaji wa mchezo wa Boxing mtakuwa mnanielewa, Mie sio mshabiki sana lakini hii match ilinibidi ni i watch kutokana na ushabiki uliokuwepo kwa watu walionizunguka, Kwa muda Match ilivokua inachezwa kule Marekana kwa hapa kwetu ilibidi kukesha Usiku mzima wa kuamkia Jumapili cha kushangaza Mchezwa ukachezwa Asubuhi ya… Read More →