KUELEKEA SIKU YA MAPENDEKO “VALENTINE'S DAY
Wakati tunaelekea siku ya wapendanao tarehe 14 Feb Nina swali ambalo nimeona linajitokeza sana kwa baadhi ya wanawake. Tusaidiane hebu kwa mawazo. NI SAWA MWANAMKE KUMUAMBIA MUME, BOY FRIEND, MCHUMBA KWA KIFUPI MPENZI WAKE KILA ANAPOTONGOZWA NA MWANAUME MWINGINE? JE HAYO NDIO MAPENZI YA KWELI?wanaume mtatusaidia REACTION IKOJE BAADA YA… Read More →