Mtu Anayeaminika Kuwa mrefu Zaidi Duniani Aliyekataa Vipimo Ili Kuingizwa Kwenye Kitabu Cha Guiness Afariki

Ni Leonid Stadnyk inaaminika ndio mtu mrefu zaidi Duniani kuwahi kutokea akiwa na 8ft 4 inches, Leonid Stadnyk aliyekuwa na asili ya Ukrain na aliyekuwa anatokea kijiji cha Podoliantsy,ameefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 44 siku ya jumapili August 24th kutokana na matatizo ya ubongo . Wakati mmoja wa… Read More →