Watu 298 Wamekufa Baada Ya Ndege Ya Malaysia MH17 Kulipiliwa
Watu 298 wamefariki katika ajali iliyotokea jana Alhamisi 17 wakati ndege ya Malaysia MH17 ilipolipuliwa kwa bomu na magaidi. Kati ya watu waliokufa, watoto ni 80 wakiwemo watoto watatu Wakiaustarlia ambao walikuwa wakisafiri na babu yao Nick Morris. Taarifa za gazeti moja la Austarlia zinasema familia hiyo ilikuwa katika mapumziko… Read More →