
Katika maisha ya mapenzi mtu unaweza ukajikuta unahangaika huku na huko katika kupata upendo wa kweli na muda mwungine unakuta umepata mpenzi ila haujui kama yeye ndo wa ukweli.
Hicho ndicho kilicho mtokea mkali wa ngoma ya Loyal muite Chriss Brown, Chriss Breezy alisema kwamba tokea Karrueche awe mpenzi wake akiwa pembeni yake amekuwa akifanya vyote vinavyotakiwa kufanywa kuonyesha yeye ndo wa kwanza wengine na vicheche tu.
Karrueche amekuwa akipost picha na kila kitu lakini Chriss Brown yeye ajafanya baada ya kuzenguliwa na mashabiki wa Rihanna.. Breezy aliamua kudhihirisha kwamba Karrueche she is his side chick. Ingawa mashabiki wa Rihanna hawatakubali kirahisi hivyo.
Watu wengi wanasema Chriss brown hajajitokeza hadharani na kusema anampenda kiukweli.
