
Ciara ametumia ukurasa wake wa Tweeter kuweka wazi makosa yake na kusema kuhusu kujaribu tena,
Tetesi zilisambaa ya kuwa Ciara hayupo kwenye mahusiano tena na mpenzi wake mpya NFL Russell Wilson, lakini hakuna upande uliothibitisha kuvunjika mahusiano hayo
unasubiri kuona nani ataanza kuthibitisha tetesi hizi
ikumbukwe Ciara alivunja mahusiano na mpenzi na baba watoto wake Future mara baada ya kujifungua, lakini pia kuna taarifa ziliwaho toka zikisema kuwa mahusiano hayo yalitaka kurudi kwasababu ya malezi ya mtoto jambo ambalo halikuonekana kuendela
