Tangu Chriss Brown atoke jela alikuwa hajaonekana kabisa, lakini alivyonekana alionekana mtu aliyependeza sana mwenye afya nzuri huwezi kudhania alikuwa jela.
Demu wake ambae wamekuwa wakibreak up and make up Karrauche akiwa na marafiki na familia walimuandalia Breezy surprise party juzi ya kumkaribisha nyumbani baada ya kutoka jela na kusherekea birthday yake ambayo ilimkuta akiwa jela.
Mashabiki wake wengi wamesema anatakiwa apungue kidogo, ameonekana kama shavu dodo zile six packs kama zimekata hivi na kiukweli kama unamjua Chriss Brown kabla hajakwenda jela alikuwa na body flani very sex.
waliokuwepo wengine ni pamoja na Big Sean, Tyga, T-Pain, Amber Rose, na wengine kibao