
Mkali Wa wa ngoma inayotamba kwa sasa Ayee Kutoka Nigeria Davido Ndio Mshindi wa Tuzo Ya Best African act BET 2014
Kwa Mujibu Wa Official Account ya BET Instagram wameweka picha inayompongeza Msanii Huyo Wa Nigeria Anayekuja juu kwa sasa kwa ushindi wa Tuzo Hiyo
Davido Akiwa Na Tuzo Yake Katika Kipengele Cha Best African Act BET 2014
Mpaka Wakati Mwingine Kwa Diamond
