Msanii Diamond Platinum aliye nchini Afrika Ya Kusini kwa ajili ya mambo yake ya kimuziki akiwa ameongozana na msanii AY wameenda kufanya kitu ambacho nadhani wengi watakifurahia
Diamond aliyeondoka leo kuelekea huko bondeni mara baaada ya kushare picha yake akiwa na AY ndani ya ndege baada ya muda mfupi tu akashare picha nyingine inayomuonyesha akiwa Studio na msanii D’banj aka Coco Master wa kutoka Nchini naijeri
Diamond aliandika kuwa yupo studio na D’banj.
maana yake ni kwamba tutegemee Collaboration kali kutoka kwa wasanii hao wawili hivi karibuni
Unaweza kui magine hiyo ngoma itakua ni ta aina Gani????