Duniani kuna maajabu mengine yakiwa maajabu ya vituko vikiwemo na vipaji mbali mbali,maajabu mengine ya kusikitisha kwa mfano kijana wa miaka 27 kufanya mapenzi na na bibi wa 70 na kutangaza bibi kupata mimba haya ni maajabu ya kusikitisha.
Lakini ajabu hiili ni la kufurahisha kikiwemo kipaji ndani yake, jamaa anauwezo wa kuvutika kama mpira,ni maajabu.