Msanii Anayeonekana kung’ara tena kwa kutajwa katika vipengele kadhaa ndani ya Tuzo Za Kili 2014 Diamond Platinum hajaonyesha kuridhishwa na Baraza la Sanaa La Taifa Basata Baada ya Baraza Hilo kuzitoa baadhi ya nyibo Mchakatoni kwa madai ya kuwa hazipo kwenye maadili
Nyimbo zilizotelewa ni pamoja na Uzuri Wako ya Juma Jux,Tema Mate Tuwachape ya Madee, Nimevurugwa Ya Snura
Hiki Ndicho Alichokiandika Diamond kwenye mtandao wake wa insta gram muda mfupi tu baada ya majina hayo kutwajwa wakati wa press ya kutambulisha wasanii waliongia katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo hizo kwa mwaka 2014 pale masaki TBL Office. we unaonaje, Diamond Ana Haki ya kulilalamikia hili??? unadhani ana point ya msingi katika hili?