
Kidole cha The Director joan kikiwa na pete yenye jiwe la thamani aina ya Tanzanite.
Hili ni tukio la kufurahisha kwa The director of Director Joan Matsein kupewa heshima ya kuvishwa pete ya uchumba na mchumba wake wa siku nyingi Mkuu Andrew Tradees aka shemeji leo huko maeneo ya Tabata Nyumbani kwa Rafiki wa bwana harusi mtarajiwa.
Tukio lilihudhuriwa na Ndugu pamoja marafiki wachache huku kukifanyika kikao cha kwanza cha harusi.
Will you????
Harusi inategemea kufanyika mwezi wa tano mwaka huu InshaaAllah.
Salmamsangi.com inampongeza Joan kwa maamuzi mazito na Mazuri huku ikimtakia kila la kheri katika maandalizi ya Harusi yake.

1 Comment
I WISH YOU ALL THE BEST SISTER JOAN!!!!