Wasanii wengi wa hip hop walikuwa na mwaka mzuri wa 2015, Drake J.Cole walipata heshima ya platinum kwa kazi nzuri walizofanya, Nick Minaj aliendeleza kutawala na albamu yake ya , Kendrick Lamar alitengeneza ngoma ambayo imekuwa wimbo wa taifa Marekani Black Lives Matter movement, na Fetty Wap akawa msanii chipukizi wa mwaka. Wasanii hao hao pia walishika nafasi za juu katika Charts mbalimbali za mwaka 2015 za Billboard.
Katika Top Artists list Drake alishika nafasi ya 4 na Nick Minaj alishika nafasi ya 10, Top New Artist iliongozwa na Fetty Wap, wote Fetty na Drake walijikuta wako kati wasanii bora wakiume pia, Drake alikamata namba 3 akifuatiwa na Fetty nafasi ya 4, Wiz Khalifa alijiunga na akiwa nafasi ya 9,
Fetty namba 3 na Drake namba 5, pia ilitokea kwenye top 10 ya “Hot 100 Artists” Nick hakutokea kwenye top 10 ya chart hiyo alikamata nafasi ya 12, lakini alikamata nafasi ya juu ya list ya“Top Female Artists”. Rapper huyo wa ngoma ya “Truffle Butter” alikamata nafasi ya 3., Beyonce nafasi ya 8, Rihanna nafasi ya 9, pia alikuwepo kwenye kati wasanii wa top female performer of 2015.
Tena Billboard 200 artist ambayo inahesabu albamu Drake alikamata nafasi ya pili na J.Cole nafsi ya 10, Drake pia alifanya vizuri kwenye Top R&b/Hip Hop Artist, Top R&B/Hip Hop albamu, Rap Album na Rap artists chart.
Tazama baadhi ya Charts mbali za billboard kwa mwaka unaoishia R&B/HipHop na Rap Charts..
Top R&B/Hip Hop Artists
1. Drake
2. The Weeknd
3. Fetty Wap
4. Nicki Minaj
5. J. Cole
6. Future
7. Wiz Khalifa
8. Kendrick Lamar
9. Silento
10. Meek Mill
Top R&B/Hip Hop Albums
1. Drake – If You’re Reading This It’s Too Late
2. J. Cole – Forest Hills Drive
3. Kendrick Lamar – To Pimp A Butterfly
4. Nicki Minaj – The Pinkprint
5. The Weeknd – Beauty Behind The Madness
6. Meek Mill – Dreams Worth More Than Money
7. Drake & Future – What A Time To Be Alive
8. Dr. Dre – Compton
9. Empire – Original Soundtrack Season 1
10. Big Sean – Dark Sky Paradise
Rap Albums
1. Drake – If You’re Reading This It’s Too Late
2. J. Cole – Forest Hills Drive
3. Kendrick Lamar – To Pimp A Butterfly
4. Nicki Minaj – The Pinkprint
5. Meek Mill – Dreams Worth More Than Money
6. Drake & Future – What A Time To Be Alive
7. Dr. Dre – Compton
8. Big Sean – Dark Sky Paradise
9. Future – DS2
10. Various Artists – Shady XV
Rap Album Artists
1. Drake
2. J. Cole
3. Kendrick Lamar
4. Nicki Minaj
5. Meek Mill
6. Future
7. Dr. Dre
8. Big Sean
9. A$AP Rocky
10. The Game
Hot Rap Songs Artists
1. Fetty Wap
2. Drake
3. Silento
4. Nicki Minaj
5. Wiz Khalifa
6. Rae Sremmurd
7. Big Sean
8. Future
9. Flo Rida
10. Pitbull
Hot Rap Songs
1. Wiz Khalifia featuring Charlie Puth – See You Again
2. Fetty Wap – Trap Queen
3. Silento – Watch Me
4. Fetty Wap featuring Remy Boyz – 679
5. Drake – Hotline Bling
6. Pitbull & Ne-Yo – Time Of Our Lives
7. Flo Rida Featuring Sage The Gemini & Lookas – G.D.F.R.
8. Fetty Wap Featuring Monty – My Way
9. T-Wayne – Nasty Freestyle