Pamoja na ndoto yake ya siku nyingi kutimia kutokea juu ya uso wa jarida la Vogue USA Kim Kardashian ameonekana kutokubalika kutokea juu ya uso wa jarida hilo na baadhi ya wasomaji wa jarida hilo…
Haya ni baadhi ya maoni yaliotolewa na wsomaji mara baada ya kuona anayetokea na ni familia ya Kanye na kim
Kwa Kim yeye hajajali asee hiyo ilikuwa ni ndoto yake na imetimia nani kasema nini sio juu yake lol
Anna Wintour Kushoto ambaye ndio Editor wa jarida la Vougue USA.
Hata Hivyo Ilibidi Editor Anna Wintour kuelezea sababu zaidi za kumtuia Kim na Kanye baada ya kuona mapokeo sio
Endelea tu mwenyewe sasa
Vogue editor Anna Wintour explained why she used Kim and Kanye on the cover and denied Kanye begged her to put Kim on the cover
“Part of the pleasure of editing Vogue, one that lies in a long tradition of this magazine, is being able to feature those who define the culture at any given moment, who stir things up, whose presence in the world shapes the way it looks and influences the way we see it,” writes Wintour.
She continues, “I think we can all agree on the fact that that the role is currently being played by Kim and Kanye to a T. (Or perhaps that should be to a K?).”
Wintour declares, “As for the cover, my opinion is that it is both charming and touching, and it was, I should add, entirely our idea to do it; you may have read that Kanye begged me to put his fiancee on Vogue‘s cover. He did nothing of the sort.”
“The gossip might make better reading, but the simple fact of the matter is that it isn’t true,” she explains.
HIZI NI PICHA ZAIDI WAKATI WA KUCHKUA PICHA ZA KANYE NA KIM KWA AJILI YA JARIDA HILI