Wanawake wengi hasa wenye Maziwa Makubwa wamekua wakipata tabu katika swala la kuvaa nguo zinazoacha Mabega wazi au mgongo kutokana na ulazima wa kutumia Brazia.
Hapa unaweka mikanda syle number 5 katika picha yetu ya Brazia. BEGA MOJA
Sasa hicho si kikwazo tena Brazia utavaa na Fashio haikupiti eti kwasababu tu Brazia itaonekana.
Style number Nne kwenye picha yetu ya Brazia. X
Wapo baadhi hujiamulia kuvaa tu nguo za aina hiyo huku Brazi ikionekana kiukweli kwa muonekno haupendezi kabisa na hata maana ya hiyo nguo haiwezi onekana tena
Kama tu utaamua kulazimishia.
Ya nusu kila mtu anajua hakikisha inabana isiteremke kwasababu haina support ya mikanda juu nunber one kwenye picha yetu.NUSU
Wabunifu wa mitindo wameturahisishia sana ni sisi wenyewe tu tushindwe
Huna haja ya kutuonyesha bra yako kwa pembeni picture number mbili ikuhusu katika kivazi hiki
Kuvaa nguo ya wazi huku Brazia inaonekana ni kama uchafu. Itapendeza kweli umevaa evening Gaun alafu Brazia imetokeza kwa juu kweli au mgongoni unadhani utainekanaje?
Hii nguo yenyewe ni bra tayari unakuta mtu anaongezea Braa inatokeza yani vurumai inakua
Bega moja hapa hata ya nusu unavaa
Msije mkasema hiyo wanaweza wazungu tu maana hamkawii visingizio.
Anaetaka kufundishwa kwa vitendo na kuonyweshwa bra za hivo zinapopatikana usisite wasiliana nami
Msangisalma@gmail.com