50 cent ni wazi amechoka kuishi akifanya eti kwamba amefilisika, ameshare picha hii ya hereni ya almasi na aliandika “This is my new Ear ring, why? Because i feel like it. LMAO.Baada ya ya 50 cent kutakiwa kulipa mkwaja mrefu na mahakama bada ya kupost video ya mwanadada aliyekuwa mpenzi wa Rick Ross akifanya ngono, jamaa alijidai amefilisika na