Muimbaji wa ngoma ya Boyfriend kutoka Canada mkali Justin Bieber ameripotiwa kuchaji kati ya dola 2,000 paundi 1,314 kwa ajili ya kukutana na kumsalimia ikiwa ni package kwenye tour yake ya Purpose,sio kila mtu amependezwa na bei hiyo.
Bieber mwenye umri wa miaka 21, ataanza tour ya 58-date ya Marekani Kaskazini kuanzia tarehe 9 March 2016, tovuti mbali mbali za kuuza tiketi za Marekani zimeanza kutangaza packages hizo ikiwemo moja iliyoitwa Ultimate Purpose Experience , ambayo inawawapa mashabiki nafasi kupiga selfie na Bieber wakati wa tour wakiwa backstage na kupewa alama maalum atakayoondoka nayo.
Mashabiki wengi ambao ni vijana wadogo ambao hawawezi kulipia wameelezea hasira zao kupitia twitter na kutengeneza hashtag #justiceforbrokelieber.
Mmmoja aliandika: “I’m less excited for the purpose tour because of the prices.They are ridiculous and the meet and greets will flop bye#justiceforbrokelieber.”
Mwingine alisema: “I WANNA EXPERIENCE THIS WITHOUT HAVING TO PAY LIKE A RICH MAN #justiceforbrokeliebers,” while yet another chimed in: “Justin: wants people to treat him like a normal person but wants $2000 for a selfie.”