Hatimae baada ya muda mrefu wa hasling za hapa na pale ili kusababisha Kideo kionekane katika channel za Mbele hatimae msanii Diamond Platzzz Amefanikiwa baaada ya kideo chake cha My Number One Remix Alichomshirikisha Msanii Davido Wa Nigeria Kimeonekana kupitia Kituo cha TRACE cha Ufaransa leo.
Diamond Ameshare picha aliyoipiga kwenye Tv wakati video hiyo Inachezwa kupitia ukurasa wake wa InstaGram na kusemaaaaaa
“JUHUDI,MAOMBI,HESHIMA NA KUTOKATA TAMAA NDIO SIRI PEKEE ……NASHUKURU SANA KWA WOTE MNAOENDELEA KUNI SUPPORT , INSHAALAH NAAMINI IPO SIKU TUTAFIKA”