
Mwanamitindo wa kimataifa Flavianna Matata Amezindua Rasmi Mradi Wake Wa Flavianna Matata Foundation Stationary kwa kugawa Vifaa katika shule ya msingi Minazini Iliyopo Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam
Flav Ametowa vifaa vya Shule kama Madaftari na Pencils.
Bonyeza Heading Kuona Picha za tukio Hilo

Flav akiwa na warembo wa Miss Tanzania waliowahi kupita Nancy Sumary , Faraja Kota na aliyewahi kuwa miss Ilala Kiki Zimba katika uzinduzi wa Flavianna Foundation
