
Alexandra, Frank & my self at Chef’s Pride
Frank and Alexandra ‘t Channel Ten studios
Frank
Home
Upepo wa bahari ya hindi ukimpuliza mwanadada Alexandra katika mgahawa wa Karambezi Sea clif.
Kwa kweli ilikua ni siku yao ya kwanza kuja Tanzania lakini wali enjoy sana. Watakua hapa kwa wiki tatu wakitembelea vivutio vya utalii Arusha, zanzibar, Mafia na Dar Ea Salaam.
Je wewe mtanzania unavifahamu vivutio vyako vya utalii?????
