Kitabu cha Biggie kilianza kuandikwa na Funkmaster Flex na Karen Hunter, Funkmaster Flex na muandishi Karen Hunter wameungana kuandika kitabu kuhusu Notorious B.I.G kwa kupitia publishe Simon & Schuster taarifa za Hot New Hip Hop zimeeleza
Tovuti hiyo imeeleza kwamba kitabu kinazungumzia ngoma ya “Who Shot Ya” halisia ilitakiwa iwe kwenye albamu ya Mary J. Blige, Biggie na Keith Murray walirekodi vesi kwa ajili ya wimbo huo na LL Cool J pia alipangwa kuwepo.
Mtangazaji huo pia anaseama alimtambulisha Nas kwa Biggie.
“Nilimtambulisha Big kwa Nas kitaani huko Brooklyn, Nas alikuja kumsalimia dada yangu na mimi nilikuja na Biggie nyumbani, kipindi hicho kitaani ilikuwa imetoka albamu ya Nas Illmatic” Funkmaster Flex kutokana na story ya Hot New Hip Hop.
Funkmaster Flex Asema Alimtambulisha Nas Kwa Biggie
Previous Story
Beats Music Kuzinduliwa Tena Na iTunes
Next Story
Chid Benz Atoka Mahabusu Kwa Dhamana
Related Posts
-
-
Mwanamke Anayeshikiliwa Kwa Mauaji Ya Mwanamke Wa Kinaijeria Baada Ya Kumchoma Sindano Za Kuongeza Makalio, Amesema Amber Rose Ni Moja Ya Wateja Wake
-
Peter Okoye Amethibitisha Kuwa Na Ugomvi Na Ndugu Zake, Lakina Wameyamaliza
-
The Finest ya Mwana FA na miaka 13 ya Jaydee zagongana Tena
-
@The_Dati Kutua Universal Music London Mwezi Machi
-
Big brother the Chace: Maskini Nando Ngono yamponza, Aambulia Gono, Ashikiwa akili katika maauzi yamatumizi ya condom na Mwanamke.
-
Juma Nature Kamuimba SamMisago Baada Ya Kumtimua Studio