Hii inathibitisha ya kuwa hata huko kwa wenzetu kwenye maendelea makibwa kisanaa hasa ya muziki kuwa mambo ni magumu na kila siku wasannii hata wale wakubwa sana wanaendelea kutuia nguvu za ziada kuendelea kubaki katika nafasi zao ili kuepusha kufunikwa na vizazi vipya vinavyokuja kwa kasi sana kwenye game industry hiyo
Hii imejioyesha baada ya msanii Beyonce kufanya onyesho akiwa nusu mtupu katika jukwaa la Tuzo Za Grammy Hivi karibuni, onyesho ambalo mara nyingi wahudhuruaji wake huwa katika mavazi ya heshima sana na adamu
Beyonce aliye Perform Ngoma Yake ya DRUNK IN LIVE aliosindikizwa na mme wake ambaye naye ni mwanamuziki KING Jay Z huku mdada huyo akiijulikana kama Malkia katika ulimwengu huo wao akiwa amevalia nusu mtupu huku akicheza kwa mitindo ya hatari ya kimetego ya kimapenzi wakati wa onyesho hilo
UNAWEZA KUJIULIZA KULIKUWA NA HAJA GANI BEYONCE KUVAA ALIVYOVAA WAKATI WA ONYESHO HILO
Hapo majibu ni dhahiri kuwa yupo kwenye mashindano makali na kujaribu kuonyehsa kuwa bado wamo ili kuendelee kubaki katika nafasi yake alionayo kwasababu ya kuwa kuna mtu anaitwa Rihanna Ambaye amekuwa akisababisha vikali na picha za hatari kila kukicha kitu kinachomfanya awe sana midomoni mwa watu jambo ambalo linamfanya msanii kuwa juu mara zote.
Basi kwa maana hiyo hakuna kubweteka maana kila siku watu wapya wanazaliwa na vipaji zaidi na mambo mapya zaidi so ukihitaji kushikilia nafasi itakubidi hata kujitoa akili tu ilimradi usipotee maana yake ni kutafuta KEEK
Tazama picha za Beyonce wakati wa Onyesho Hilo