Gucci Mane amefungwa miaka mitatu zaidi kuendelea kukaa jela baada ya kumpiga mtu na chupa.
Gucci Mane amekutwa na kosa hilo la kushambulia juzi Septemba 15,
Repa huyo alifungwa miaka mitatu kwa kumshambulia askari (Army staff sergent) kwa kumpiga na chupa kwenye klabu ya usiku ilikuwa Machi 16, 2013. Imeripotiwa kwamba askari huyo alienda kwenye eneo la VIP alilokuwepo Gucci Maine na alikuwa akitafuta kupiga picha na repa huyo kabla hajapigwa na chupa.
Mwasheria wa Wilaya Paul Howard aliongelea swala hilo kutokana na Atlanta Journali-Constitution.
“Badala ya kumpokea shabiki anayekufurahia, ndugu Davis, na bila sababu ya maana unampiga chupa ya vodka kichwani na kwa haraka kuondoka katika club hiyo, askari huyo aliumia sana kwa mbele ya uso wake ambapo palihitachi kushonwa nyuzi 10.
AJC inaripoti kwamba haiku wazi kama atapewa sifa wakati akitumikia kifungo chake.
Gucci Mane pia alikutwa na makosa mengine la kukimbia polisi mwaka 2011 na kushambulia tena 2005, AJC inaeleza kwamba Gucci Mane alikuwa akishtakiwa kwa kosa la mauaji baada ya kmpiga repa Macon ambaye alisema alimpiga, lakini makosa hayo yalifutwa.
Mwaka 2008 Gucci alikutwa na makosa huko Henry County lakini waliofanyiwa makosa walishindwa kuthibitisha taarifa za AJC zilieleza, lakini kwa sasa Gucci Mane afungwa jela miaka mitatu.
Gucci Mane Afungwa Miaka Mitatu
Previous Story
Jay Z Na Beyonce Warekodi Albamu Ya Pamoja
Related Posts
-
-
Drake Asema Yuko Tayari Kufanya Kazi Na LeBron James
-
Kim Kardashi Akanusha Tetesi Zilizoenea kuwa Wameshafunga Ndoa Na Kanye
-
Wema Ngoma Droo Na Rihanna, Wafanya Photo Shoot Za Mitego Kwa Wakati Mmoja
-
Umati wamzika Bi Kidude
-
Miezi 4 Baada Ya Kujifungua Mtoto Wa 9lbs Ciara Ajivunia Kurejesha Umbo lake La Awal, Hata Wewe Unaweza, Upo Tayari?
-
Big Sean Aeleza Chemistry Yake Na Ariana Grande