Maelfu ya waandamanaji wameingia barabarani mjini Paris hii katika maadhimisho ya mwaka mmoja wa kuwa madarakanai Rais Francois Hollande wakimshutumu kwa kuupa kisogo siasa za mrengo wa kushoto.