
Tuzo za BET 2014 zimefanyika usiku wa kuamkia leo Juni 29 pale Nokia Theatre huko Los Angeles, usiku huo ulihusisha prerecorded show kutoka kwa mkali Jay Z na Beyonce na live show ilitoka kwa mkali kama Lil Wayne, Nick Minaj, Usher, Drake, Jhene Aiko na August Alsina, huku mchekeshaji maarufu duniani Chriss Rock akiwa host. Nick Minaj alichukua tuzo ya Msanii bora wa kike wa hip hop kwa mwaka wa tano mfululizo na Beyoce na Jay Z na wimbo wao wa “Drunk in love” ulishinda kipengele cha wimbo bora wa kushirikiana ( Best collabo).
Mapema Pharell Williams aliungana na Missy Eliot kwenye stage katika wimbo wa Come get it bae kabla hajachukua tuzo yake ya Msanii bora wa kiume wa R&B na video bora ya mwaka na wimbo wa “Happy”.
Muimbaji wa R&B mpya katika gemu alishinda August Alsina na kuwashinda masanii kama Schoolboy na Mack Wilds, ikiwa ni tuzo yake ya kwanza pia alishinda tuzo ya Nights Viewers Choice, akaungana na Chriss Brown na trey Songz katika kupiga show ya wimbo wa “U Love this shit”.
Iggy Azalea akiwa na T.I kenye stage aliperform wimbo wa “Fancy”, Msanii huyo kutoka Australia Iggy alikuwa akishindana na Nick Minaj katika kipengele cha Msanii bora wa kike, Nick Minaj alishinda tuzo hiyo kwa mwaka wa tano mfululizo.
Washindi wa tuzo za BET 2014:
NEW ARTIST
August Alsina
GOSPEL ARTIST
Tamela Mann
ACTRESS
Lupita Nyong’o
MALE HIP-HOP ARTIST
Drake
VIDEO OF THE YEAR
Pharrell, “Happy”
MALE R&B POP ARTIST
Pharrell
LIFETIME ACHIVEMENT AWARD
Lionel Richie
GROUP
Young Money
VIEWERS’ CHOICE
August Alsina
HUMANITARIAN AWARD
Myrlie Evers-Williams and all Civil Rights Movement heroes
FEMALE HIP-HOP ARTIST
Nicki Minaj
FANDEMONIUM AWARD
Beyonce
FEMALE R&B POP ARTIST
Beyonce
COLLABORATION
Beyoncé feat. Jay Z, “Drunk in Love”
VIDEO DIRECTOR OF THE YEAR
Hype Williams
ACTOR
Chiwetel Ejiofor
YOUNGSTARS
Keke Palmer
MOVIE
12 Years A Slave
CENTRIC
Jhene Aiko, “The Worst”
SUBWAY SPORTSMAN
Kevin Durant
SUBWAY SPORTSWOMAN
Serena Williams
INTERNATIONAL ACT: AFRICA
Davido (Nigeria)
INTERNATIONAL ACT: UK
Krept & Konan
