Ok Madam Sepetu Ameamua kubaki na kipara, kifupi amekuwa Natural
no makeup No wig, weav, wala makope Bandia
Ameshare Picha Za uonekano wake mpya Instagram
imekaaje hiyo? wewe kama shabiki wake unaionaje?
Abaki Kipara au aendelee na mizigo Yake Kichwani?
unadhani Anapendeza akiwa na nywele au asipokua nazo na vipi atadumu na hiyo style au anabeep tu
4 Comments
Anatishaa kama gost
Hahaha cathy
Abaki hivyohivyo si ameamua yeye
xafi xana