
Kwa wale vijana wenye ndoto ya kuwa wana mitindo wakubwa PACA imewarahisishia kazi.PAKA ni kampuni mpya ya uwanamitindo ambayo imetambua umuhinu wa ndoto za vijana wengi kuwa wanamitindo. PACA inafanya vitu vitatu,Training kwa Models wanaochipukia kwa ada ya Laki Moja kwa Training! Pili Usajili wa Models wenye experience (uzoefu) kwa ajili ya kazi zinazojitokeza..
Tatu inaandaa Fashion shows ambazo ni Taffic Light Party and Generation X….hizi zitakua zinafanyika kila mwezi! PACA imeanza shughuli zake mwezi uliopita!!!..PACA Inachukua kila aina za models kamA: 1.models wa matangazo,Fashion show na photoshoot!!
PACA ipo chini ya mwanamitindo mkomavu kabisa WancyNelson “Once” na ofisi zake zipo mwananyamala Komakoma Biashara Complex Ghorofa ya Kwanza
Fika au wasiliana kwa email: wancynelson@gmail.com au sim Number 0655 999331
Timiza ndoto zako za kuwa mwanamitindo bora na PACA
