Kwa mujibu wa Mkuu wa polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam Suleiman Kova mpaka sasa Miili 21 ndio ambayo imeopolewa na kwamba bado harakati za kuokoa miili ya watu wanaosadikiwa kufunikwa na kifusi ikiendelea.
Hata hivo taarifa nyingine ni kwamba mpaka sasa watu nane wakiwemo wakandarasi watatu na Mmiliki wa Jengo wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano
Jengo la ghorofa 16 lilidondoka jana Majira ya saa mbili na nusu asubuhi Maeneo ya Posta Jijini Dar es salaam
Tazama picha ya jengo namna lilivodondoka na uokoaji ukiendelea.
Hawa watoto wamepoteza maisha