Baada ya kufunika vibaya vibaya katika show yake ya Ujerumani msanii Bob junior aliye kwenye ziara ya kimuziki huko ulaya, Haya ndio maneno aliyoyaandika katika ukurasa wake wa BBM akiwa na furaha isiyo kifani. Bob bado yupo kwenye ziara ya miji mbalimbali huko ulaya…. wasanii waliowahi kwenda huko kufanya show watatuthibitishia alichokisema Bob kama kina ukweli wowote.
1 Comment
May26kwamelaryea Pete ol buddy, glad to see you are still following what I m doing. It’s good to have carcitil thinkers like you on board who realise that The Monetary System is just a mind game like all other systems, I mean you don’t see other creatures on this planet exchanging bits of paper for food which grows from the ground do you