Baada ya Kufika Indonesia Ilipo Kambi ya mashindano ya Miss World Mwaka huu Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Urembo ya Dunia, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Lymo, ameonyesha Chumba alichofikia Kupitia Mtandao Wake wa Insta Gram
Hata Hivyo Muwakilishi huyo wa Tanzania ameendelea kupost Picha mbali mbali zinazomuonyesha akiwa na warembo wenzie kutoka nchi mbali mbali kupitia mtandao wa facebook .
Haya Yatakuwa Mashindano ya 63 yanayotarajiwa kufanyika September 28, 2013 huko Sentul International Convention Center, Sentul na Nusa Dua, Indonesia
Tunamtakia Kila La kheri Mrembo Brigitte Alfred.