Katika Vitu vilikuwa vinasubiriwa Zaidi Msimu Huu kutoka kwa washabiki wa couple ya Kanye Na Kim Basi Ni Picha za Harusi yao iliyofanyika Jumamosi 24th May
Kim Alivalia Gaunin Zuri Toka kwa mbunifu Givenchy
Sasa Kanye na Kim Ni Official Mr & Mrs West Tazama Picha Zaidi
Ikiwa ni ndoa nyingine kwa mrembo Kim Kardashian baada ya ile alofunga na cheza kikapu Chris iliyodumu kwa masaa 72 tu
Je swali Ndoa Hii Itadumu kwa mdagani?