Tyler, the Creator
Watu weusi wenyewe ndio wamekuwa wakwanza kulishambulia tangazo hili ambalo Director wake ni rapa maarufu Tyler The Creator, sababu kubwa ikitajwa kuwa ni kutangaza jamii ya watu weusi katika picha ya uhalifu na tabia za kihuni.