Tiny aliulizwa kama akaipata nafasi ya kumaliza tofauti yake na Mayweather, Tiny alisema ndio kuna tumaini tarifa ya TMZ zimeeleza
Tiny na T.I na Mayweather walihusishwa katika ugomvi unaoendelea ambao ulihusisha na Mayweather, baada ya Tiny kumtukana Floyd katika red carpet ya BET mwaka huu na baadae Mayweather akiongea na waandishi wa habari alipoulizwa vipi kuhusu T.I akasema laitembea na mke na baadae akakanusha hakusema hivyo, lakini Tiny mke wa T.I amsema kuna nafasi ya kumaliza yote hayo yanayoendelea.
Tiny alikuwa akitembea uku akimuacha muandishi anayemuhoji akiwa ameweka mikono yake juu huku akisema “Hopefully”
Tiny Asema Tumaini Lipo La Kumaliza Tofauti Zao Na Mayweather
Previous Story
"Monster Tour" Ya Eminem Na Rihanna
Related Posts
-
-
Sina Mpenzi, Idris Afungukia Waandishi Wa Habari
-
Rumors Had It They Broke Up,But Still Love Leads
-
“Muziki Wa Uganda Ni Mkubwa Kuliko Wa Kenya” Amani
-
Nicki Minaj Na Meek Mill Watangaza Engagement Kiaina!
-
Mwaka Mmoja Baada ya kifo cha Steven Kanumba
-
Ex Wa Cristiano Ronald Asema, Hakuwa Salama Katika Mahusiano Yake Na Mwanasoka Huyo