Huu ni muonekano mpya wa Mrembo Wema Sepetu baada ya kukata nywele zake nakuamua kubaki Natural. Wema ameweka picha zake katika mtandao wa InstaGram akitambulisha muonekano wake mpya Swali ni Je? Wema atadumu kwa muonekano huu kwa muda gani?