Moto usiojulikana chanzo chake umeteketeza zaidi ya magari 13 na mengine kuungua katika baadhi ya maeneo katika kituo cha kuuzia magari kijulikanacho kama Japan Auto Connection LTD kilichopoMwenge Mlalakuwa barabara ya Samnujoma jijini Dar es salaam,..
Hakuna madhara yeyote yaliojitokeza kwa kwa binadamu