Mara chache sana au huwa haitokei kabisa kwa mastaa, wanasiasa na watu wengine maarufu wanaposhuka katika viwanja vya ndege kuanza kusachiwa, mara nyingi hupatiwa VIP treatment au hutumia ndege zao binafsi Kibongo bongo pale uwanja wa ndege wa JK Nyerere kuna terminal A na B terminal B huwa wanapita watu maarufu ambao huwa hawapati usumbufu wa kuwa scanned kusachiwa na vitu kama hivyo.
Tofauti kwa mwanadada The bad gal Riri baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Los Angeles akawa kwenye mstari kama watu wengine wa kawaida na kusachiwa kitu ambacho hutokea mara chache kwa mastaa ndo maana hii ikawa story.
Rihanna alionekana kutopendezwa na kitendo hicho.