Jada Pinkett ameshare picha ya mama yake mwenye umri wa miaka 61 katika ukurasa wake wa facebook akiwa na kibikini ufukweni picha aliyoitoa kwa mwanae Willow na kuandika:
Labda Tu Niulize Una Kisingizio Gani