
Rapper kutoka Toronto Canada, “Started from the bottom” rapper, Drake, albamu yake ya “If you are reading this is too late” imeuza zaidi ya copies milioni 1, taarifa za Chart News zimeeleza.
Albamu yake iliyopita iliuza copies 1,006,000, “If you are reding this it,s too late” ilitoka Februari na iliuza copies 624,000 katika wiki yake ya kwanza.
Albamu nyingine tatuza Drake mwaka 2010 “Thank Me Later” 2011 “Take Care” na 2013 “Nothing was the same” zote zimefika Platinum, So far gone ya 2009 ilifika gold.
