Rapper kutoka Toronto Canada, “Started from the bottom” rapper, Drake, albamu yake ya “If you are reading this is too late” imeuza zaidi ya copies milioni 1, taarifa za Chart News zimeeleza.
Albamu yake iliyopita iliuza copies 1,006,000, “If you are reding this it,s too late” ilitoka Februari na iliuza copies 624,000 katika wiki yake ya kwanza.
Albamu nyingine tatuza Drake mwaka 2010 “Thank Me Later” 2011 “Take Care” na 2013 “Nothing was the same” zote zimefika Platinum, So far gone ya 2009 ilifika gold.
“If You’are Reading This It,s Too Late” Yafika Platinum
Previous Story
Mtoto Wa Marvin Gaye Asema Wazo La Empire Lilikuwa Lake
Related Posts
-
-
Cocoa na Chocolate -(Official Music Video)
-
Muimbaji August Alsina Aanguka Kwenye Stage Wakati Akioerform
-
Mwanamuziki Madonna Ziarani Nchini Malawi
-
Rozay Afunguka Kuhusu Mistari Aliyomuongelea Donald Trump Nakusababisha Albamu Yake Ya “Black Market” itolewe Kwenye Maduka Ya Wal-Mart
-
20 Bora Epiq Bss 2013 Kuingia Kambini, sasa kuonyeshwa na TBC
-
Profesa Mlama ndio mwenyekiti Mpya BASATA Ni Uteuzi wa Mh. Rais Kikwete