Immortal Tech anasema haoni kama Iggy anampita Nick Minaj, na katika battle yeye atakuwa upande wa Nick Minaj.
Kutokana na Harlem, New York rapper Immortal Tech, anasema Iggy Azalea na Nick Minaj kila mmoja anastahili yake, kwa hiyo huwezi kuwashindanisha na kila mmoja ana mashabiki wake, kitu hichi kama Boss wake T.I Grand Hustle helmman alishasema kama unakumbuka, alisema Nick na Azalea kila mmoja anayo aina yake.
Technique katika mahojiano hayo aliyofanya na Vlad TV alisema kwamba kama Iggy na Nicki wakiwahi kushindanishwa basi yeye atamchagua Nicki Minaj kama mshindi. Baada ya kufunguka hayo pia aliongelea jinsi anavyohisi nini shida kubwa watu wanayo na Iggy.
Technique amesema maneno yote haya yanakuja na yote ni kwa sababu ya Iggy na yanatoka kwa watu ambao wanasema Iggy arap kama anavyoongea.
Nimesikia watu wakimcritisize Iggy, kwa sababu wanasema arap kama anavyoongea, lakini nani anarap kama wanavyoongea? Watu wachache, Nitasema kwamba watu ambao hawampendi Iggy ni mtu anayekosoa ni kwamba anaongea kawaida kama mtu wa Austaralia na anasikika kama mtu mweusi anaporap alisema Tech.
Akiongelea video ya Anaconda ya Nicki Minaj alisema kwamba sex sells na akaweka imani yake kwamba kuna ukosefu wa mchanganyiko inapokuja suala la wanawake kufanya hivyo kwenye mainstream.